Muhaya na mambo ya mpira wa miguu wapi na wapi!!!!!!Japo Ni Mtani Wangu ILA Sijaona Kiongozi Hopeless Na Failure Ktk Michezo Duniani Kote Kama Huyu. Anawatia Mno Aibu Wahaya Wenzie!
Muhaya na mambo ya mpira wa miguu wapi na wapi!!!!!!
Huyu jamaa ataweka rekodi ya kuharibu pale tff....
soka la bongo twende nalo tu Yahoo, utaumiza kichwa bure
Hivi kanuni yaligi kuu inapobadilishwa si inapaswa vilabu vyote kutaarifiwa kwa barua?
Kama hamkufanya hivyo basi ligi inaendeshwa kienyeji!
Alafu nauliza tena huu utatatibu wa viongozi wa virabu kuwa viongozi wa kamati zako huoni kama unaleta mkanganyiko na vurugu hapo tff mfano nina wasiwasi kiongozi wa simba aliemuombea hajib kuahilisha adhabu ndo huyo huyo alejibu barua kutoka tff au kitu kinachofanana na hicho.
Nikivuta picha ya matukio ya nyuma ikiwemo kuvilazimisha vilabu kukatwa makato visivyo halali naona TFF inaendeshwa kibabe na kiholela.
Uzi wa kadi 5 za njano umekwama, umeona uparamie mti mwingine ujaribu upepo.
Hivi kanuni yaligi kuu inapobadilishwa si inapaswa vilabu vyote kutaarifiwa kwa barua?
Kama hamkufanya hivyo basi ligi inaendeshwa kienyeji!
Alafu nauliza tena huu utatatibu wa viongozi wa virabu kuwa viongozi wa kamati zako huoni kama unaleta mkanganyiko na vurugu hapo tff mfano nina wasiwasi kiongozi wa simba aliemuombea hajib kuahilisha adhabu ndo huyo huyo alejibu barua kutoka tff au kitu kinachofanana na hicho.
Nikivuta picha ya matukio ya nyuma ikiwemo kuvilazimisha vilabu kukatwa makato visivyo halali naona TFF inaendeshwa kibabe na kiholela.
Kizuguto said:Hata hivyo, Osifa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, aliliambia NIPASHE jana kuwa kanuni mpya ambazo klabu zinadai hazijazifikia, zilipitishwa na Kamati ya Utendaji ya TFF Februari 8, mwaka huu.
"Kamati ya Utendaji ya TFF inayo mamlaka ya kuongeza ama kupunguza kanuni za uendeshaji wa ligi. Kama kuna klabu hazijapata marekebisho ya kanuni, ziwasiliane na TFF na si kukimbilia katika vyombo vya habari," alisema Kizuguto, huku akiwataka waandishi wa habari 'kuhudhuria bila kukosa' kwenye ofisi za shirikisho hilo leo saa 5:00 asubuhi kupata ufafanuzi wa kina kuhusu suala hilo na mambo mengine ya soka.