Hao sikuizi wanajiona wako juu ya sheria, wakati asilimia 90 hawana leseni na wanaendesha kihatari sana. Ningekuwa na uwezo ningewatembezea kichapo mpaka wapagawe!
bodaboda karibia 1800 ktoka maeneo ya tegeta,mbezi beach na kawe zimefunga barabara kuelekea mwananyamala kumuona mwenzao aliye gongwa. Inasemekena aliyegogwa/dreva mwenzo kafa so wanaenda kulinda mwili usiibiwe.
Yaani ntakusa mwendelezo wa habari coz wamenikuta vibaya. wangenikuta nina pikipiki lazima ningeunga tela hadi nijue nini kinaendelea. haya ni maandamano yasio na kibari coz magari yote napisha. mi wamenipita bamaga wanguwangu mbaya.
mia
nlikumiss sana mshika dau wangu. wapo viumbe kibao sijawaona aisee!. pamoja sana mkuu. Mungu wangu akubariki hadi ushangae. miaNilikumiss mzee wa100
nmeamua kuweka picha baada ya jamaa kunipm eti hajui bodaboda. jf si mchezo. Miamzee wa 100 asa na hao wa boda hapo juu walikuwapo?huo ndo naitaga usafiri kafiri
nmeamua kuweka picha baada ya jamaa kunipm eti hajui bodaboda. jf si mchezo. Mia