Sisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.Yani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha BODA BODA mara wanaanza kupiga horn ,mwingine ukimwangalia tuu tayari ashawasha chombo anakufuata,sasa leo nilikua nimevurugwa mnoo sasa niko mitaa ya tabata bima naona mtu ananipigia horn mnoo nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule bwana mdogo!
Sema tu hivi wewe hauna bodaboda tuelewe sio unaandika wanakukera.Yani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha BODA BODA mara wanaanza kupiga horn ,mwingine ukimwangalia tuu tayari ashawasha chombo anakufuata,sasa leo nilikua nimevurugwa mnoo sasa niko mitaa ya tabata bima naona mtu ananipigia horn mnoo nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule bwana mdogo!
Tupia kapicha tuone hizo neema za allah..Sisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.
Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.
Kha... 🤪 🤪 🤪Tupia kapicha tuone hizo neema za allah..
Tupia moja tuwashe motoSisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.
Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.
Nakuja kukutupia pmTupia moja tuwashe moto
Ngoja niande ulindi ili nipekeche vizrNakuja kukutupia pm
Hahaaha pita na pm yangu 🤪🤪🤪 tuone uumbajiNakuja kukutupia pm
We ukivurugwa wao wamevurugwa zaidi yako bila hivyo watalala njaaYani mtu uko zako kitaani unapiga karibu na kituo cha BODA BODA mara wanaanza kupiga horn ,mwingine ukimwangalia tuu tayari ashawasha chombo anakufuata,sasa leo nilikua nimevurugwa mnoo sasa niko mitaa ya tabata bima naona mtu ananipigia horn mnoo nilichokifanya aisee ni hatari sana Kwa yule bwana mdogo!
Lipia Tangazo ...Sisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.
Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.
Hayo Makalio yameshakuwa kero kwako eehSisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.
Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.
Lipia tangaso tafazali!Sisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.
Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.
Vita ni vita muraaaSisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.
Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.