Kuna tabi ya wadada kukodi bodaboda wasiowajua, na kama tujuavyo wadada huwa ma vimizigo viwili vitatu, sa jana kuna mdada kakodi boda hamjui yule boda akamwambia "dada leta mkoda nikubebee kwa mbele" yule boda kumbe wakati anaendesha akawa anasachi mkoba na kumuibia simu. dada aliposhuka ile anajisachi simu hana na boda kashandoka.
so kuweni makini na mizigo mnayowapa wawabebee kwa mbele bora muwape viroba vya mahindi.
pia mnapotembea barabarani mmebeba mikoba tafadhali muweke upande ambao hampishani na na bodaboda.
nawasilisha