Bodaboda katika ubora wake!

na asikwambie mtu hako ka boxer 100 na huo mzigo kanaitika hata mwenye vogue hasikii raha kama huyo dereva
 
Ingelikuwa kuna barabara zao pekee bila muingiliano na magari, hii ndio usafiri bora kabisa.
 
Nipatie namba yake nimpe kazi ya kumpeleka dogo shule daily!
 
Abiria anapanda vipi na kushuka...Traffic laws...abiria juu ya mzigo na mizigo juu ya mizigo
 
Abiria anapanda vipi na kushuka...Traffic laws...abiria juu ya mzigo na mizigo juu ya mizigo
hizo traffic laws zinasimamia mazingira ya sasa lakini usisahau kuwa dunia inaendelea na innovation ifanyika pia katika vyombo vya usafiri.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…