Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,977
- 1,219
Ni tukio la bodaboda alinusurika kuchomwa moto katika eneo la Sinza Afrikasana baada ya kujaribu kupora mkoba wa mwanamke aliyekuwa anatembea kwa mguu.
Baada ya kupora pikipiki yake iligoma kuwaka na ndipo wananchi walipomvamia na kuanza kumshushia kipigo. Wakati kipigo kikiendelea huku wengine wakiwa wameenda kuchukua petrol alifika trafiki katika eneo hilo na kupelekea kunusurika kijana huyo. Hat a hvyo kutokana na hasira walizokuwa nazo wananchi waliivamia pikipiki yake na kuamua kuichoma moto.