Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,850 34,300 Jan 20, 2016 #1 PICHA Mkazi wa Kata ya Mtunguzi mkoani Dodoma, Amos Massawe akilia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kusombwa na mafuriko usiku wa kuamkia jana. Neno moja tu la kumtakia pole Massawe
PICHA Mkazi wa Kata ya Mtunguzi mkoani Dodoma, Amos Massawe akilia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kusombwa na mafuriko usiku wa kuamkia jana. Neno moja tu la kumtakia pole Massawe
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Jan 20, 2016 #4 Yewooooooomiiiiiiiiii! Pole mangi...!
Calender Senior Member Dec 28, 2015 112 84 Jan 20, 2016 #5 Daaah !! Hivo waTZ... kuna nini? Au ndiyo Laa'ana inaashiria baada ya kua Albino na vizee/vikongwe ????
Daaah !! Hivo waTZ... kuna nini? Au ndiyo Laa'ana inaashiria baada ya kua Albino na vizee/vikongwe ????
Bernie Fikiri JF-Expert Member Aug 20, 2015 288 197 Jan 20, 2016 #8 Kunahaja kubwa kwa jamii yetu iliyosifika miongo na miongo kwa upendo kukumbukana ktk majanga haya.Poleni ndugu zetu wa Dodoma
Kunahaja kubwa kwa jamii yetu iliyosifika miongo na miongo kwa upendo kukumbukana ktk majanga haya.Poleni ndugu zetu wa Dodoma
LWENYI JF-Expert Member Jul 4, 2013 1,789 2,101 Jan 20, 2016 #9 Aiseee Massawe analia badala ya kuokoa angalau sufuria za kuanzia maisha Nyumba atajenga tu apambane upya
Aiseee Massawe analia badala ya kuokoa angalau sufuria za kuanzia maisha Nyumba atajenga tu apambane upya