P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,055 Reaction score 6,777 Jun 10, 2012 #121 Radhia Sweety said: Naona mpaka muda huu hamna mtu aliyesema chanzo cha kifo. Sijui kwanini. Click to expand... Wewe gamba huu sio muda wa kuulizia chazo kitakusaidia nini? Toa umbeya hapa
Radhia Sweety said: Naona mpaka muda huu hamna mtu aliyesema chanzo cha kifo. Sijui kwanini. Click to expand... Wewe gamba huu sio muda wa kuulizia chazo kitakusaidia nini? Toa umbeya hapa
P Precise Pangolin JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 13,055 Reaction score 6,777 Jun 10, 2012 #122 Mungu akulaze mahali pema peponi mwenyekiti wetu wa zamani
P Prof Griff JF-Expert Member Joined Aug 29, 2008 Posts 6,771 Reaction score 5,268 Jun 10, 2012 #123 Wekeni eulogy yake kwa maana ya wasifu wake kamili alipokuwa hai, siyo mlolongo wa "RIP" tu.
Gang Chomba Platinum Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,734 Reaction score 4,869 Jun 10, 2012 #124 kwaheri ya kuonana Bob...
bullet JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 1,047 Reaction score 543 Jun 10, 2012 #125 Apate pumziko la Milele mzee Makani. Bwana ametoa Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe, Amina.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jun 10, 2012 #126 May God rest his soul in eternal peace~AMEN
N Njoka Ereguu JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 821 Reaction score 336 Jun 10, 2012 #127 RIP Mzee Makani, Mwenyezi Mungu aipokee roho yako na kuiweka mahala pema peponi, ulitekeleza kile ulichoweza katika maisha yako na kwa vyovyote vile mchango wako utakumbukwa katika mageuzi ya kisiasa ya Tanzania.
RIP Mzee Makani, Mwenyezi Mungu aipokee roho yako na kuiweka mahala pema peponi, ulitekeleza kile ulichoweza katika maisha yako na kwa vyovyote vile mchango wako utakumbukwa katika mageuzi ya kisiasa ya Tanzania.
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,238 Reaction score 1,567 Jun 10, 2012 #128 RIP Mzee Bob Makani......poleni sana wafiwa
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,580 Reaction score 23,915 Jun 10, 2012 #129 RIP Mzee Bob Makani na poleni wafiwa. Poleni wana Mageuzi na poleni Wapenda haki. Poleni wana Chadema na poleni Watanzania.
RIP Mzee Bob Makani na poleni wafiwa. Poleni wana Mageuzi na poleni Wapenda haki. Poleni wana Chadema na poleni Watanzania.
L Laban Boaz Member Joined Apr 2, 2012 Posts 29 Reaction score 3 Jun 10, 2012 #130 RIP Kamanda Makani kazi umeifanya na imeonekana wazi kwa kila mtu.
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,258 Reaction score 7,101 Jun 10, 2012 #131 Rip. .. Mzee wetu
kaburungu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 3,914 Reaction score 7,409 Jun 10, 2012 #132 Mungu awape wanachadema,familia, na watanzania kwa ujumla faraja katika kipindi hiki cha majonzi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake litukuzwe.
Mungu awape wanachadema,familia, na watanzania kwa ujumla faraja katika kipindi hiki cha majonzi. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake litukuzwe.
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,158 Jun 10, 2012 #133 RIP Mzee .Makani.
K Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 1,211 Reaction score 233 Jun 10, 2012 #134 RIP Sir Bob Makani,Poleni wafiwa!
Ciril JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 8,558 Reaction score 7,168 Jun 10, 2012 #135 Yeye katangulia sisi tutafuatia,R I P Makani
Suzie JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 1,267 Reaction score 422 Jun 10, 2012 #136 RIP our Hero.
Kilahunja JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 1,500 Reaction score 344 Jun 10, 2012 #137 so sad, mwanga wa milele ukaangazie.
N Nzowa Godat JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 2,785 Reaction score 823 Jun 10, 2012 #138 Mtambuzi said: RIP Mzee Bob Makani Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi Amina Click to expand... RIP Bob.
Mtambuzi said: RIP Mzee Bob Makani Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi Amina Click to expand... RIP Bob.
M majebere JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 4,990 Reaction score 1,838 Jun 10, 2012 #139 Rweye said: Mwenyezi akutangulie mzee wetu,mwambie Baba wa Taifa CDM inakaribia kuwakamata wahujumu uchumi kama enzi zake... mwambie tunamwomba apendekeze adhabu. Click to expand... Na nyie kila sehemu lazima mlete visiasa vyenu.
Rweye said: Mwenyezi akutangulie mzee wetu,mwambie Baba wa Taifa CDM inakaribia kuwakamata wahujumu uchumi kama enzi zake... mwambie tunamwomba apendekeze adhabu. Click to expand... Na nyie kila sehemu lazima mlete visiasa vyenu.
marshal JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 353 Reaction score 160 Jun 10, 2012 #140 OneManArmyMan said: Wekeni eulogy yake kwa maana ya wasifu wake kamili alipokuwa hai, siyo mlolongo wa "RIP" tu. Click to expand... We umeweka nn?hata RIP hujaweka so don't ask for more.
OneManArmyMan said: Wekeni eulogy yake kwa maana ya wasifu wake kamili alipokuwa hai, siyo mlolongo wa "RIP" tu. Click to expand... We umeweka nn?hata RIP hujaweka so don't ask for more.