R. I. P. Bob makani, Chadema ilikupenda, wana Chadema tulikupenda, lakini Mungu kakupenda zaidi yetu wote ! Ingekuwa amri yetu tungeahirisha kifo chako mpaka November 2015 ili umwone Rais wa awamu ya 5 akiapishwa, bila shaka atatokana na Chama chako Chadema. Lakini kwa bahati mbaya uwezo huo hatuna. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe. Amina.