darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 394
- 355
Nipigie📞+255 747 999 927 Tuzungumze Hatuwezi KushindwanaNiku dm Kwa 23M
Hahahahahaaaa🤣 Ile Location Ni Nzuri Imetulia Haina Movement Ya Gari Nyingi Na Isitoshe Ina Kivuli Ndio Maana Unakuta Wauza Magari Tunapendelea Kupigia Location IleUkuta wa Law School na TCRA unapendwa kwenye biashara hii sijui kwa nini ☺️
Usimkatishe Tamaa Kaka Huenda Iyo Ikawa Ni Offer Ya Uchokozi Ila Akifikia Kwenye Gari Tukakutana Somewhere Hapo KatiHiyo bei nenda kanunue bajaji tu hkuna BMW ya bei hyo.
Thanks🙏🏽All the Best
Unaweza Kupata Ila At Your Own Risk. Kuna Gx100 Na Corolla 110Jamani siwezi kupata gari kwa 2.2 mil nami nitembelee tako
hahahaaaJamani siwezi kupata gari kwa 2.2 mil nami nitembelee tako
Zipo Mpaka za laki nne.. Ongea na watu vizuriJamani siwezi kupata gari kwa 2.2 mil nami nitembelee tako