Mkuu ndo Mana nikasema maongezi yapo ,ila fatilia vzr Bei za X5Mkuu mimi sio mteja ila kwa ushauri tu, hiyo bei unayouza haitofautiani sana na bei ya kuaiza hiyo gari Japan, kwa namba C ungeshusha bei.Gharama za kuagiza gari kama hiyo ukilipia kila kitu ni kuanzia Mil 25+
Duh hiyo J ndio nakusikia wewe mkuu,kufupi hana hata jina moja lenye herufi j
Hahahahaha kuna mtazamo kuwa wanawake huwa hawako rafu sana kwenye kuendesha gari so to some extent iko vzri kidgo ukilinganisha na ingekuwa inaendeshwa na mbabaKutumiwa na Mwanamke ina maana gani, anaendesha sebuleni kwenda chumbani tu.
Pesa nnazo acha kunidharau wewe ila ya kununulia jini sina
Huu mwaka ni mwendo wa kukana majini na kutafuta Baby walkers car
Ndugu yako wa damu anaweza kukudanganya jina?Basi kakudanganya jina lake na kama sio yeye anayeliuza itakua naye alimuuzia mdada vile vile, maana nakwambia hivi kwa sababu hiyo gari nimeshawahi kumpeleka nayo airport akienda zake Guanzou.
Anaendesha kwenda mwezini yaniiKutumiwa na Mwanamke ina maana gani, anaendesha sebuleni kwenda chumbani tu.
BE FORWARD : 2005 BMW X5Mkuu ndo Mana nikasema maongezi yapo ,ila fatilia vzr Bei za X5
Ndugu yako wa damu anaweza kukudanganya jina?
Nazani ni S........(jina lake)Duh hiyo J ndio nakusikia wewe mkuu,kufupi hana hata jina moja lenye herufi j
year of manufacture, kilometres covered6cyl
3.0i
cc2970
automatic Gear
Petrol