BMW X5

I will buy it very soon! though I m still in dilema, I dont know which one is the best among BMW X5 VS MURANO
 
Mkuu kuna ndugu yangu anatoka nje anataka kunipa hii gari mtu ila tatizo lime sha fika km 110000 hapo service yake ina kua imekaaje kimazingira yetu

Kwny toyota km 110,000 yaani hio gari inahesabiwa kitu ni piruuuuuu,ngadaaaa,mang’anyuuuuu,mwemereee,mafuta mafuta hatareeeeee.
 
Hata hizi naskia ndo kibisa kama range rover zikifika km 100000 ndo bas tena nimeambiwa ni gari za luxury.......naombeni msaada jjamani cause likija mimi ndio itabidi nilishughulikie
 
Mkuu kuna ndugu yangu anatoka nje anataka kunipa hii gari mtu ila tatizo lime sha fika km 110000 hapo service yake ina kua imekaaje kimazingira yetu
Km hizi lishafika muda wa kubadilisha vitu mfano radiator,thermostat, expansion tank,air suspension etc kwahio jiandae.
 
Hivi bado unafanya ishu ya maintenance ya hizi gari?kama ndio naomba number yako pm tuongee vizuri
 
Back
Top Bottom