darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 672
- 589
I was about to comment like this...Kweli tupo Africa ni matakoni mwa dunia Gari ina miaka 18 ila kibongo bongo chuma ni mma
Chuma inaweza kutiki okotoba😁Kweli tupo Africa ni matakoni mwa dunia Gari ina miaka 18 ila kibongo bongo chuma ni mma
Mkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?Bei/Price🏷️👉🏾TSH 19.8M
Call📞+255 747 999 927
BMW X5(EDU)
Year: 2007
Engine: 2990Cc
Mileage: 93,000+
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTO
✨Fog Lights
✨Push To Start
✨Panoramic Roof
✅Clean Interior
✅In Mint Condition
✅Exchange Possible
View attachment 3478938View attachment 3478939
View attachment 3478941View attachment 3478942
Boss kalewa...tajiri kavurugwa mkuu😄Mkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?
Car4Sale Thread 'BMWx5 bado inanukia upya'
Bei/Price TSH 28.5M
Call+255 747 999 927
BMW X5(EDU)
Year: 2007
Engine: 2990Cc
Mileage: 93,000+
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTO
Fog Lights
Push To Start
Panoramic Roof
Clean Interior
In Mint Condition
Exchange Possible
- darautobroker
- bmw bmw x5
- Replies: 13
- Forum: Matangazo madogo
😁😁😁Mkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?
Wakikujibu nitag!Wadau naomba kujua inawezekanaje gari ina miaka 18 duniani halafu mileage iwe 93K?
Sawa na wastani wa kutembea Km 5,000 kwa mwaka?
😂😂😂😂😂Kweli tupo Africa ni matakoni mwa dunia Gari ina miaka 18 ila kibongo bongo chuma ni mma
Boss kalewaa, anauza BMW kwa bei ya kutupa.Mkuu ndani ya mwezi mmoja gari imeshuka toka milioni 28.8 mpaka milioni 19.8 zaidi ya milioni 9 imepungua? Kuna shida gani? Au bei moja imekosewa?
Car4Sale Thread 'BMWx5 bado inanukia upya'
Bei/Price TSH 28.5M
Call+255 747 999 927
BMW X5(EDU)
Year: 2007
Engine: 2990Cc
Mileage: 93,000+
Fuel Used: PETROL
Transmission: AUTO
Fog Lights
Push To Start
Panoramic Roof
Clean Interior
In Mint Condition
Exchange Possible
- darautobroker
- bmw bmw x5
- Replies: 13
- Forum: Matangazo madogo
Service kwa namna gani mkuu? Hakuna sehemu za kufanya service? Au mafundi hakuna?Tatizo la BM ni service
Mafundi wazuri hakuna, kuna x5 moja kama hiyo jamaa aliagiza imefika tu ndani ya miezi miwili akawa ashaichoka service. Hizi gari ni nzuri kwa wenye vipato vikubwa ila sio kwa akina sisi pangu pakavu.Service kwa namna gani mkuu? Hakuna sehemu za kufanya service? Au mafundi hakuna?
Niliuliza kwa sababu mara nyingi Tanzania ukisikia wanalalamika hili gani halifai kwa sababu ya service mara nyingi unakuta tatizo ni uwezo wa kifedha wa mmiliki. Yaani unataka anataka afanye service za kimagushi tena kwa mafundi wa uchochoroni. Mara nyingi sisi huwa tunadhani gharama ya kumiliki gari ni ile bei ya kununulia bila kujua gharama za uendeshaji pia zipo.Mafundi wazuri hakuna, kuna x5 moja kama hiyo jamaa aliagiza imefika tu ndani ya miezi miwili akawa ashaichoka service. Hizi gari ni nzuri kwa wenye vipato vikubwa ila sio kwa akina sisi pangu pakavu.