Naungana na
Isanga family iwe SHJ sio SH9.
TRA wanataka Mil 25 kwa SH9 ya 2013.
Ila wanataka Mil 13.5 kwa SHJ ya 2013,
Pia wanataka Mil 11 kwa SHJ ya 2012
Na wanataka Mil 10.5 kwa SHJ ya 2011
Kwahiyo sweet spot ni SHJ ya 2012 na 2011.
Tofauti ya SH9 na SHJ za chapchap:
-SH9 mostly cc2500 (2.5 XT) wakati J unaweza pata 2000 (2.0 X au 2.0 XS EJ20) usichukue 2.0XT
-SH9 kwenye bonnet kuna lile tobo visually kwaajili ya Turbocharger