Kama anataka kubadili basi aende General.Wakuu, naomba msaada na ufafanuzi wenu kuhusiana na hizi kozi zinazotolewa MUHAS (Muhimbili University).
Wakuu nina ndugu yangu amechaguliwa kusomea Degree ya Maabara ya Microbiology (Bachelor of Medical laboratory sciences in Microbiology).
Sasa anaomba ushauri juu ya hii Kozi kwa wanaoijua ama waliyoisomea.
Msaada kwake kwa sababu mimi nimezoea ile BACHELOR OF MEDICAL LABORATORY SCIENCES. Sasa hizi za Specialist sijazijua kwa undani.
Msaada kwake kwa Mwangaza zaidi. Ili kama vipi aone jinsi ya kubadili aende hata Parasitology ama Haematology ama Histopathology ama BMLS GENERAL etc.
Shida ya histo hospital kubwa tu ndio wana iyo department so apo ndio inazingua.Histotechnology ina future zaidi.
Ina maana hata hizo Specialist wanafundishwa na idara zingine kimtindo????Akishamaliza, huko hospitalini anafanya kazi kama BMLS General tu.Hizo specialization haziharibu chochote.
Source: Mdogo wangu kamaliza BMLS Hematology hapo mwaka juzi
Mkuu, kama hautojali...Naomba namba ya mdogo wako hata PM. Nimuulize maswala mawili matatu.Akishamaliza, huko hospitalini anafanya kazi kama BMLS General tu.Hizo specialization haziharibu chochote.
Source: Mdogo wangu kamaliza BMLS Hematology hapo mwaka juzi
Wanasoma pamoja wote kasoro 3rd year ndo wanatengana, na akienda internship atakuwa treated kama BMLS general bila kujari speciality yakeIna maana hata hizo Specialist wanafundishwa na idara zingine kimtindo????