Wakuu Kwema?
Bluetooth Ear pods za Kisasa zinauzwa,
Zinaunganisha Mpaka umbali wa mita 8
Zinasikika vizuri sana,
Unaweza kusikilizia mziki au kuongelea na Simu,
Zinakuja na Charger Pamoja na Manual yake yenye maelekezo yote jinsi ya kutumia.
Bei ni TZS 9,000/= tu kwa 1Pc ambayo preferably ivaliwe sikio la kulia. Napatikana Mbezi Mwisho Stand, ukitaka kuletewa ulipo utagharamia nauli.
Mawasiliano
0769596149 na 0714 315 256