Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
wewe una ushahidi gani? Lete Source yako?Raia wana uwawa kwa kudai haki,wa saudia wanasaidia mauwaji.
Je UN walioni hilo au kwa sababu Saud Arabia ni marafiki wa USA?
UN walisema Gadafi anuwa raia wake walipo andamana
wewe una ushahidi gani? Lete Source yako?
Mkuu hiyo ni moja ya pointwaone nnini?... Mafuta yako wapi Yemen?
Mkuu hata radio husikilizi?au sababu hakuna umeme?wewe una ushahidi gani? Lete Source yako?