Blood test!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Doctor wa kike alimtoboa Jamaa kidole ili apate sample ya damu kwa ajili ya vipimo.Doctor alisubiri damu itoke lakini haikutoka.Yule doctor akaamua kumnyonya kidole mshikaji na hatimae damu ikatoka.Baada ya kupewa majibu ya vipimo vya damu,yule mshikaji akaomba kupima mkojo huku akidai mkojo wake uko mbali hivyo hauwezi kutoka kirahisi.
 
Doctor pia inaonekana uzoefu wa kunyonya anao...
 
Hii joke umeichakachua, ilishawahi kuwepo hapa ila ilimuhusu babu. Acha kuiga..
 
Shida iko wapi si anaunyonya tena huo mkojo!! Loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…