Blogu zetu za kibongo

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
kuna tabia moja naiona kwenye blog nyingi in such inaanza kunikera sijui wenzangu kama mmeiona..to be honest blogu nyingi tunazoziangalia watanzania wengi ndo zile zile za kina bro michu,sjui jiachie,haki etc etc..ila wanatabia ya kukopiana matukio...tukio hilo hilo unalikuta kwenye blogu nyingine mbaya zaidi picha zile zile na uelekeo unaofanana hazipishani hata chembe...

najiuliza huwa mna mtu m1 anaewatumia picha na habari au...maana mnaondoa ile ladha ya blogu habari zinakuwa duplicated tena in pictures..naomba mjirekebishe apo bana aah:coffee:

mdau wenuuuu
 
mara nyingi blog zenye same contents huwa zinafanana vitu vingi..hasa matukio yale ambayo ni public interests. na hii pia hata nchi zingine hutokea kwa sababu kikubwa ni kupata picha tu! sasa kinachotakiwa ni kubadilisha maudhui na kuleta vitu vyenye ladha tofauti.
 
Uwe unaingia JF kila siku achana nazo, huku kuna habari nyingi sana na za aina mbalimbali
 
Sidhani kama ni zote naomba jaribu kutembelea hii hapa then urudi hapa uje kutueleza umeona kitu gani cha kitofauti
GSHAYO
 
Back
Top Bottom