Blogu inauzwaa

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,974
Reaction score
1,210
Kama unahitaji kuwa na blogu kwa
ajiri ya kupost habari mbalimbali,
ipo inauzwa tsh 30,000. Blogu
yenyewe ni
kurasahuru.blogspot.com. Ukihitaji
nipm au 0768277927, kuhusu jina la
blogu, tunaedit na kuweka
unalolitaka.
 
Mhhh kweli umefulia,google wenyewe wanatambua biashara unayoifanya?
Sasa si bora uwafundishe watu wajue jinsi ya kufungua blog wenyewe?
 
Mhhh kweli umefulia,google wenyewe wanatambua biashara unayoifanya?
Sasa si bora uwafundishe watu wajue jinsi ya kufungua blog wenyewe?

wanatambua sanaa tu, nishawatengenezea watu kama watano kwan sio wote wanaweza kuedit zile temperate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…