Blogger Robert Alai(Kenya) atoa siri ya waliompiga Lissu risasi. Amtaja RC Makonda...

Hii taarifa imetufikia kama mshtuko fulani vile, ikimhusisha Mkuu wa mkoa na uhalifu dhidi ya Lissu
Source Hiyo hapo chini, nimefanya my screenshot tu

View attachment 587455
itafahamika tu kuna vitu ambavyo havijifichi kwa mfano jua, mwezi na ukweli.. tuendelee kusubiri watu wasiojulikana watapojulikana

Kucha kucheeere!!!!. Kumwaga damu ya mtu siyo jambo la mchezomchezo.
Mungu anawapenda Watanzania na Mungu hamfichi mnafiki! Kitaeleweka tu........!!!!!.
Kama ni kweli Bashite na Babashite wamehusika na hili sijui watajinasua vipi na...... Kwenye vyeti fake DAB alilindwa na akaweza ku-survive!! Kwa hili la Tuhuma za kutaka kufanya Mauaji ya Tundu Lissu sijui kitatokea nini....!!
Najaribu kuwaza tu.
 
Hapo kwenye 'remember Magufuli is Raila's friend', what's the connection!!

Nahitimisha kuwa, The most FEARED people in Tz by opposition ni JPM na Paul Makonda, sababu kubwa ya kuwaogopq ni utendaji kazi wao uliotukuka. Hii inasababisha wakubalike sana kwa wananchi hivyo upinzani wana WIVU.
uliotukuka nacheka kama alivocheka mfalme herode alipo muuliza Yesu kama ni mfalme wa wayahudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa wale masiomfahamu huyu jamaa siyo wa kispotspot

DNENERGY2707UD-524x350.jpg

President Uhuru Kenyatta greets blogger Robert Alai during the State House Energy Summit on July 27,2016. PHOTO | EVANS HABIL
 
Hapo kwenye 'remember Magufuli is Raila's friend', what's the connection!!

Nahitimisha kuwa, The most FEARED people in Tz by opposition ni JPM na Paul Makonda, sababu kubwa ya kuwaogopq ni utendaji kazi wao uliotukuka. Hii inasababisha wakubalike sana kwa wananchi hivyo upinzani wana WIVU.

Hapo kwenye 'remember Magufuli is Raila's friend', what's the connection!!
Nafikiri Anawatahadharisha Wakenya wasimchague Raila maana atakuwa kama wetu.....Makonda amejaa kwenye midogo sana sijui kwa nini.
 
Hii taarifa imetufikia kama mshtuko fulani vile, ikimhusisha Mkuu wa mkoa na uhalifu dhidi ya Lissu
Source Hiyo hapo chini, nimefanya my screenshot tu.

Kutoka kwa Robert Alai

View attachment 587455
Serikali ya kenya inapaswa kuomba radhi kwa kitendo alichofanya raia wake la sivyo Rais JPM inabidi afanye jambo ili iwe fundisho kwa kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom