Wakuu naomba msaada wa maelekezo ya kuanzisha, blog kutoka blogspot.com,kuifanya iwe searchable to google search engine, vile vile kuunganisha na tangangazo ya google Adsense Kwa wazoefu mnaweza nielezea zote steps in deeps.
Ushauri wangu
invest pesa kidog katk domain name na hosting ambaxo haizidi elf 60 kwa mwka utatengenez powerful blog kupitia wordpress ambayo ina feature nyingi kuliko blogspot