Wanawake tunatia aibu ! ninini ????
Sa na wenyewe kwanini walikua wanamdiscuss mwenzao???
Mazungumzo yao sasa.... Jestina nimempa pole ya kipigo we kaniblokia mbali kule.. kile kipigo kapewa kwa mengi maana watu walikua washampangia Diaspora Blog
Sa na wenyewe kwanini walikua wanamdiscuss mwenzao???
Mazungumzo yao sasa.... Jestina nimempa pole ya kipigo we kaniblokia mbali kule.. kile kipigo kapewa kwa mengi maana watu walikua washampangia Diaspora Blog
Hivi hizi team huwa wanalipwa?
mshahara tonge
Big up jestina
Wao kilichowafanya wamama watu wazima kuacha kulea watoto na kudiscuss wenzao ni nini?
Kajala.mwenyewe mnafiki tu
Pole yake jestina
Sasa kwa hasira angerusha rekodi nzima.....
Wamemwaga ugali yeye angemwaga mboga na kuisiliba na mchanga
.Yule Betina wa UK alieeolewa mke wa 3 amekula kipondo cha maana juzi baada ya kugundulika kuwayeye ndo aliewa rekodi kina Kajala wakimsema Wema na kisha kumrushia Dougiemasta14 hiyo clip.
Sasa unaambiwa watoto wa uswazi walikuwa wanamfatilia sana toka aje bongo. huku na kule wakamvizia akiwa bila mama Diamond( Anajifanya Halima Kimwana na yeye kuwafwata fwata familia ya Diamond)Mnafki mkubwa , si anajifanya ana blog ya kuweka nyuuz aweke na hii .
Chezea watoto wa mbwa wewe, Kajala shoga zake ni masela wa Kinondoni aalafu analeta umaku.Ilimhusu nini kuwarekodi kina Kajala? kama sio uchonganishi? Kama kujipendekeza kwa Wema ndo mpaka amrekodi kajala?
Ndo maana hanenepi kwa unafiki.Na bado mpaka tukuvunje kiuno mwaka huu. Kila ukija bongo utakuwa unapokea kipondo