Blog creating and design!

Blog creating and design!

Mi nauza website hii http://udakunews.com bei fresh. Hii site news zina jiandika wenyewe hupati tabu ya kuandika. Km utakua interested nifate chemba

safi sana mkuu! Hii kitu naihitaji sana, nataka nifanye biashara na wewe! Nahitaji blog asup, utanifanyia kiasi gani?
 
Mi nauza website hii Udaku News - Home Of Gossip bei fresh. Hii site news zina jiandika wenyewe hupati tabu ya kuandika. Km utakua interested nifate chemba
Asante kwa offer mkuu issam! Mimi nahitaji blog siyo website! Pia mwelekeo wa habari zinazotolewa si za interest/hobby yangu na pia sina uwezo wa kuzi-maintain! So buying your already established website will cost me a lot with no any return as I will lose your niche! So, its better I start from scratch!
 
Last edited by a moderator:
weka bei wazi kama atashindwa huyo mwingine anajipima.

au hujui biashara za mtandaoni. hii post yako inasomwa dunia nzima.
Asante sana mkuu kwa kunisaidia kufikisha ujumbe! Sipendi kweli watu ambao kusema bei tu wanahitaji privacy!!
 
safi sana mkuu! Hii kitu naihitaji sana, nataka nifanye biashara na wewe! Nahitaji blog asup, utanifanyia kiasi gani?

laki 2 ku design pamoja na ku host, training ukipenda pia kabisa, 0715 81 21 60 mrinaupdates-Tanzania Cheap Web Design and Hosting | Tanzania Cheap Web Design and Hosting Karibuhost Inc. - Tanzania Web hosting, .tz Domain Names Registration, Domain Names Registration, cheap web hosting, tanzania low cost web hosting, secured, fast wesite hosting ndio ofisi zangu.
 
Back
Top Bottom