Upo kwenye network ya kampuni? Kampuni nyingi zinablock site za file sharing kwa sababu hazihusiki na kazi na zinakula bandwidth ovyo. Admin wako ni whoever is incharge of the network hapo kwenu.