Inategemea hao users wako wako katika level gani. Kama unatumia wireless router mara nyingi zina setting ya kublock baadhi ya sites so angalia humo kwanza, kama unataka hata wataalamu wasiweze kupenya basi itabidi ufanye investment ya kifaa cha firewall ambacho kina uwezo wa kudhibiti njia zote.