Block chain technology

booker T washington

Senior Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
104
Reaction score
36
What is 1CO
Ni innitial coin offering , ikiwa na maana ni mwanzo wa coin husika ili kuwekwa kwenye market, wakt coin haijaingzwa kwa exchanger husika!! Huwa inaundergo som prossess
Hivyo hutoa coin au token ili zinunuliwe na hupanda kulingana na demand ya coin husika kutokana na jins wanavoitangaza, founder wake, big investors waliowekeza hapo , roadmap na factor nyingne nyingi, hivo huwa inasubiriwa kuingia kwa exchanger ili ifanyiwe trading kama kawaida...
.ICO inaweza kuanza kwa mf 0.0005usd na mpka inaingia exchanger ikawa imefika hata $5 kwa kila token ilonunuliwa...lakin sio ICO zote hufika kwenye trading...analysis ni muhimu
WhatsApp +255656202162
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…