mke wangu alipat tatizo kama hilo tulipoenda hosptl tuliambiwa kutakuwa na uchafu ulisahaulika akatakiwa kusafishwa tatizo likaisha
sidhan kama ni matatizo ya kiufundi la hasha.pole sana hayo yatakuwa yalikuwa matatizo ya kiufund kutoka kwa madactari ila unachotakiwa ni kutokukata tamaa kurudi hospitali alikofanyiwa hyo operation na kuwaeleza hilo tatizo tena ni vizuli ukakutana na yule yule aliuekufanyia....operation
mmmh!! Napata shaka na
hiki ulichokiandika.
Hivi unajua kwamba kitu chochote kikisahaulika mwilini baada ya masaa 8
kinakuwaje??
Na je hivi unajua kwamba hakuna kitu ambacho ni lazima wakati wa surgery
kama usafi na uepukaji wa kutumia kitu ambacho hakihusiki??
Yaani najaribu kuimagine uchafu huo ni upi damu?? Ama mkasi?? Ama ni
gloves?? Ama ni kiwembe?? Ama ni pamba?? Uachwe tumboni?? Na dr akwambie
ni uchafu ulisahaulika??
Ngoja labda aje dr Riwa na @dr mo watusaidie
hapa ila akili imegoma kuamini.
Pole na hongeraMimi nimejifungua kWa öp na kutolewa uvimbe wa 8kwa9 na mtoto piaaa
Thank you dearPole na hongera