Yiyu Sheping JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 1,720 Reaction score 850 Jul 6, 2016 #1 Ile ripoti ya uvamizi huko Iraq inatolewa sasa na mambo yanamuendea mrama Blair. Watu wana jiuliza kwa nini sasa? takribani miaka 7 tangu kuanza uchunguzi huu. Baada ya UK kujichanganya na maamuzi ya brexit tutarajie kuona mengi.
Ile ripoti ya uvamizi huko Iraq inatolewa sasa na mambo yanamuendea mrama Blair. Watu wana jiuliza kwa nini sasa? takribani miaka 7 tangu kuanza uchunguzi huu. Baada ya UK kujichanganya na maamuzi ya brexit tutarajie kuona mengi.
T tongblock Member Joined Jul 6, 2016 Posts 76 Reaction score 81 Jul 6, 2016 #2 mengi yatakuwepo ila wskubwa hujuana kwa vilemba
amadeusity JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 560 Reaction score 291 Jul 6, 2016 #3 Watayamaliza kimya kimya
Waberoya Platinum Member Joined Aug 3, 2008 Posts 15,157 Reaction score 10,828 Jul 6, 2016 #4 halafu...mbona ya Bush mpaka alikiri kuwa alidanganywa na CIA , hakukuwa na silaha za sumu....... unafikiri then nini kitatokea? ebu kataza watu wasitumie shisha bana
halafu...mbona ya Bush mpaka alikiri kuwa alidanganywa na CIA , hakukuwa na silaha za sumu....... unafikiri then nini kitatokea? ebu kataza watu wasitumie shisha bana
thesym JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 3,866 Reaction score 4,854 Jul 6, 2016 #5 Nasikiliza hapa, hapa jamaa wanamfungukia, sasa na huyu atapelekwa ICC?