getrusa JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 2,150 Reaction score 1,824 May 17, 2017 #1 Nauza mafuta halisi ya blackseeds.. hutumika kutibu pumu,pressure ya kupanda,kisukari,Baridi yabisi na mengineyo.. tafadhari kama unahitaji mafuta halisi original wasiliana nasi.
Nauza mafuta halisi ya blackseeds.. hutumika kutibu pumu,pressure ya kupanda,kisukari,Baridi yabisi na mengineyo.. tafadhari kama unahitaji mafuta halisi original wasiliana nasi.
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,309 Reaction score 4,266 May 17, 2017 #2 Mkuu hii baridi yabisi ndio nini?
Himawari JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 2,609 Reaction score 1,703 May 17, 2017 #3 Weka na ushahidi wa utafiti wa kisayansi kwa hayo magonjwa uliyotaja!
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 May 17, 2017 #4 Himawari said: Weka na ushahidi wa utafiti wa kisayansi kwa hayo magonjwa uliyotaja! Click to expand... Ukisubiri utafiti wa kisayansi utakwenda na maji..
Himawari said: Weka na ushahidi wa utafiti wa kisayansi kwa hayo magonjwa uliyotaja! Click to expand... Ukisubiri utafiti wa kisayansi utakwenda na maji..
SIM JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,309 May 17, 2017 #5 Hiyo habati soda umeikamua mwenyewe au ni hizi za kampuni ya Heman