Blacks & jewish

Status
Not open for further replies.

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,158
Reaction score
816
Yani huwa nashangaa sana , black man anapomshangilia jewish kwa anavofanya, okay maybe wanachofanya ni sahihi, but kinachonizhangaza ni hivi juzi tuu like 2 weeks back, prime minister wa israel Netanyahu akihutubia bunge, alisema wazi kabisa jewish hates black people and they are not pretending like other whites, akaendelea kusema mtu mweusi ameumbwa kwa ajili ya kutawaliwa na whites, and it will never change, "I guess that true " coz hatujitambui all we think is just drinking, getting married , sexy etc… this is what he said, and then kwa wale wakiristo wenzangu tunaliita ni taifa teule but mpaka leo hawaamini kama yesu alikuja, oz wanasema yesu alikuwA mtoto haram, when u think deep jews are cursed…. Mtabisha but that the fact
 
Reactions: yok
kwahiyo tuseme blacks tunatakiwa kuwashangilia waarabu? magaidi wa hamas na hezbolah? unajuwa waarabu ndio waliowacastrate watu weusi ili kusiwe na kizazi chao kabisa kule uarabuni? wale blacks waliopo uarabuni wameenda siku hizi tu ila zamani wale walioenda kama utumwa wote walihasiwa, na waarabu ndio wanadamu waliofanya ukatili mkubwa kwa blacks kuliko hata wakoloni. waarabu ndio wanaoua watu kuliko viumbe vyote duniani hapa kwa njia ya ugaidi....acha chuki zako dhidi ya wayahudi.
 

Cjasema tushabikie yeyote c kwamba waarabu ni wazuri, bali tuangalie the reality, wanaokufa kule ni akina mama na watoto…, but actually nnachoongelea ni hii kauli ya netanyahu na the way waafrica tunashabikia taifa hili, hasa christians, hawa jewish it's true they're are so intelligent but ndo wameleta shida almost half of the world, thru propaganda & war, au na hilo utabisha pia
 

una matatizo ya akili ww kwanza unaongea vitu bila hata kutoa source alaf kuwa na uchungu wa kujua mambo usiamini kila unachokaririshwa watu weus wapo uarabun siku nyingi na walieshimika na waarab.Iman ya muarab inazungumza juu ya kuwakomboa watumwa alaf angalia wap watumwa walitumika km sio amerika na europe
 

kes kumuongezea hapa kinachoangaliwa NI UBINADAMU wazungu walikuwa wakiwatupa ma black jamaica na visiwa vingine wakichoka kazi ndio walojenga miji yao mikubwa mfano mzuri paris na new york zote zilijengwa na watumwa. mayahudi there are too much
 
nawe ni muongo sasa unamwambia mwenzio alete source we mwenyewe umeleta porojo bila source...still mwarabu si rafiki wa mtu mweusi hata kiuonguongo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…