si mbaya ila itakua hujaifaham vizuri hii simu...ni za ghali sana ndugu ila kwa kua sikukuu hii inakuja na watoto hawana cha kuvaa acha tu niuze simu yangu ntajua cha kufanya mbeleni. kwa bei hiyo haiuzwi ndugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.