Blackberry World is Bull...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salam wakuu,
Nilikua na ka galaxy ace kangu lakini baada ya kukapoteza nikaamua kuswap niingie kwa bb. Sijaona wachovu kama blackberry interms of apps kwa kweli. Bb apps ni chache sana compared to google playstore, na hata hizo chache nyingi ni za kununua tofauyti na android. Pia hata kwa performance kama speed interms of booting, unaweza ukarestart bb device ikawaka baada ya dk5. Yaan ina title kubwa lakini hamna kitu kabisa, na nahisi corporation iko mbioni kufa waki introduce bbm kwa iOS na android ndio baaas tena hakutakua na unique feauture kwa bb.
 
Unatumia BB 8520 or below?natumia bb z10 naona iko poa tu.
 
Unatumia BB 8520 or below?natumia bb z10 naona iko poa tu.

Yes kwahiyo lazima itakua iko poa mkuu maana ni levo za iphone 5 au s4, ila kwa bold kushuka chini ni matatz tu.
 
hiyo blackberry yako itakua ya zamani,nimetumia 9300 iko poa kuliko simu yoyote niliyowahi tumia,application ziko chache ila zote makini na za maana tena znasize ndogo hivyo hazistack,nishatumia bold flani siikumbuki jina ila inaki scroll sehemu ya katikati nikakuta inasumbua na application chache,nikapande grade to curve dah furaha ajabu hapa nimeuza nitafute curve 11
 

Lakini mkuu unaweza kweli kulinganisha google playstore na bb world?
 
Lakini mkuu unaweza kweli kulinganisha google playstore na bb world?

Hata operating system zake zinatofautiana sana tu,hivyo kama wewe unapenda hiki mwenzio anaweza kupenda kingine,kuna mtu hapa ana galaxy s2,na anaisifu kuwa ni bora kuliko s4,sababu anadai ni rahisi zaidi kutumia,ukikutana na mwathirika wa Nokia ndiyo humwambii la BB wala samsung,anakwambia nokia inadumu kuliko simu yoyote nyingine,mimi naifurahia hii z10 kuliko simu ingine kwa sasa,coz naweza kuperuzi kwa 3.5G bila kulazimika kuwa na BEs.bundle.
 
Lakini mkuu unaweza kweli kulinganisha google playstore na bb world?

yap kwa upande wa applications za charting bb iko vzur,zinakua connected muda wote bila kumaliza charge,ukiconnect phone za android na charting application charge inakatika balaa,halafu bb hakuna takataka ndg na pia application znasize ndogo,google unakuta application ina mb 25 ndg,kwa games google store iko juu sana
 
Acheni acheni kabsa bb pasua kichwa tu ni ujinga hii kampuni itakufa hapa natumia 9780 naona inanikera tu nilinunua laki 5 nataman kuiuza hata 150000 iniondokee nirudi android
 
Blackberry has a long way to go to catch up with the android technology smartphones.
Thats a true reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…