baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Jan 9, 2012 #1 mambo vp' nauza hiyo torch 9800 ni mpya kabisa na inahitaji tshs. 650,000/=. Serious buyer nicheki kwa 0655003510 Attachments IMG-20120108-WA0003.jpg 84.9 KB · Views: 59 IMG-20120108-WA0002.jpg 67.3 KB · Views: 53 IMG-20120108-WA0001.jpg 108.5 KB · Views: 64
mambo vp' nauza hiyo torch 9800 ni mpya kabisa na inahitaji tshs. 650,000/=. Serious buyer nicheki kwa 0655003510
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Jan 9, 2012 #2 khaaa kaka mbona unachouza na picha uloweka ni tofauti au macho yangu
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,555 Reaction score 94,258 Jan 9, 2012 #3 Pole mkubwa,mbona mguu umeumia kiasi hicho?
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Jan 9, 2012 Thread starter #4 Kigogo said: khaaa kaka mbona unachouza na picha uloweka ni tofauti au macho yangu Click to expand... Dah sorry mkubwa' kuna mtu nilimpa kazi ya kupandisha hizo picha na hilo tangazo manake me sipo si unajua mihangaiko yangu. Dah sorry sana mkubwa ila asaivi karekebisha
Kigogo said: khaaa kaka mbona unachouza na picha uloweka ni tofauti au macho yangu Click to expand... Dah sorry mkubwa' kuna mtu nilimpa kazi ya kupandisha hizo picha na hilo tangazo manake me sipo si unajua mihangaiko yangu. Dah sorry sana mkubwa ila asaivi karekebisha
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Jan 9, 2012 Thread starter #5 King Kong III said: Pole mkubwa,mbona mguu umeumia kiasi hicho? Click to expand... Pole mkubwa wa kazi ilikua tu makosa ya kitechnologia... Sasa imekaa sawa
King Kong III said: Pole mkubwa,mbona mguu umeumia kiasi hicho? Click to expand... Pole mkubwa wa kazi ilikua tu makosa ya kitechnologia... Sasa imekaa sawa
S saq JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 268 Reaction score 12 Jan 24, 2012 #6 budget yangu ilkwa mpka 200,000/-Tshs dio naweza... kama upo tayari, tuwasiliane !