Blackberry Torch 4 sale

Blackberry Torch 4 sale

bei ya dukani nimekuambia best price unaweza kupata ni 650,000
 
Weka picha mkuu na description ya accessories zake! biashara matangazo
 
taja accesories zinazo ambatana na charging system yake kama iko safi ili tuwasiliane kibiashara zaidi
 
pia yr contacts mzushi biashara gani hutaji contact wewe wa wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom