nyumba inapangishwa .ni master vyoo 2 ndani vyumba 3 ukumbi ina luku ya kujitegemea parking,geti maji yapo ni barabarani maeneo ya tabata liwiti.call me0652740304
hyo iphone 5 ya laki 8, ni mpya au used na inaukubwa gan yaan namaanisha GB ngap na ni lang gani, na ni factory unlocked au maelezo mkuu nataka hyo kitu