Niliinunua kwa Tsh 500,000/ (laki tano) bado naitumia huku nikijutia hela yangu!!tatizo si Q10! Tatizo ni BlackBerry! Ukiwa nayo unakuwa totally isolated!!yaani hata Fb messenger hupati! Achilia mbali instagram na Apps nyingine unazoweza kuzipata bure kwenye Android!! Hii itakuwa BlackBerry yangu ya mwisho baada ya ile 8520 niliyoitupa dampo.