Weka picha mzee hasa hiyo 8310

Kwa bahati mbaya natumia internet kwenye simu yangu ya mkononi na sina hakika kama ninaweza ku-attach picha,ngoja niangalie uwezekano huo au la nitajaribu kuingia jamvini kwa kutumia computer!!
Hata hivyo km sio usumbufu kwako,u can google it na ukaiona,zote nilizonazo ni mpya kabisa!!
Kuna ndugu yangu anataka 9930, je atapata?Salam Wanajamvi!!
Kama somo linavyojieleza:
Blackberry 9000 Tshs 420000
Blackberry 9630 Tshs 290000
Blackberry 8310 Tshs 180000
Bei ni nafuu sana ukilinganisha na bei za bidhaa hizi katika Soko la Simu la Dar es salaam!!
Unaweza kunifikia kwa namba hizi 0714843384,0783111222 na 0767443345

Ni brand za wapi? US, Canada, Hungary or China?

Kuna ndugu yangu anataka 9930, je atapata?

vp internet zake? pia weka picha tuzione

Mh! Za wapi hizi?
Weka picha mzee hasa hiyo 8310

Unapatiikana wapi? Nikitaka unilettee nilipo hapa unaweza kuja fasta, ni PM mkuu nahitaji hiyo advanced version ?

kAKA PICHA HAZITAKUSAIDIA KWENYE UNUNUZI HUU, UNAWEZA KU GOOGLE TU PICHA YA HIYO AINA UKAONA NA NDIVYO JAMAA ANAVYOWEZA KUKUFANYIA.. NI KAMA HIVI:

bb 8310

bb 9000