Habari wadau leo kwenye simu Yangu sijaunganisha kifurushi cha Blackberry Lakini na shangaaa na weza kutumia free kwenye Application zote Je vipi Nyie wenzangu mnaotumia BlackBerry leo Ikoje hiii???
Wewe kula kimya ukishashiba ndio unaanza kuuliza.Huwa hilo linatokea unaweza kuwa unasurf na hata kudownload unashangaa salio liko vilevile na bundle haiishi.