mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,580 Jun 28, 2015 #21 Hakuna simu imenyima watu usingizi kama hii.still bado ukiwa nayo watu wanakutolea mimacho. Yaani bado INA heshima sana ukilinganisha na yeboyebo os.
Hakuna simu imenyima watu usingizi kama hii.still bado ukiwa nayo watu wanakutolea mimacho. Yaani bado INA heshima sana ukilinganisha na yeboyebo os.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,242 Reaction score 44,327 Jun 28, 2015 #22 Bavaria said: Blacberry watafute special customers... Kuingia android ni kujiua kabisa, huko samsung ameshashika... Click to expand... wanatengeneza wote hio simu, ni muungano wa bb na samsung.
Bavaria said: Blacberry watafute special customers... Kuingia android ni kujiua kabisa, huko samsung ameshashika... Click to expand... wanatengeneza wote hio simu, ni muungano wa bb na samsung.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,242 Reaction score 44,327 Jun 28, 2015 #23 Rene Jr. said: naskia nokia wanarejea tena kwenye soko la smartphones mwakani, ni kweli mnazi wa nokia? Click to expand... yap eka contdown timer 6 month to go. huenda january 2016 ikatoka. ila watakuwa wanafanya design tu, manufacturing na supply atafanya mwengine.
Rene Jr. said: naskia nokia wanarejea tena kwenye soko la smartphones mwakani, ni kweli mnazi wa nokia? Click to expand... yap eka contdown timer 6 month to go. huenda january 2016 ikatoka. ila watakuwa wanafanya design tu, manufacturing na supply atafanya mwengine.
Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,736 Reaction score 2,402 Jun 28, 2015 #24 Chief-Mkwawa said: yap eka contdown timer 6 month to go. huenda january 2016 ikatoka. ila watakuwa wanafanya design tu, manufacturing na supply atafanya mwengine. Click to expand... android? au wanatengeza os yao?
Chief-Mkwawa said: yap eka contdown timer 6 month to go. huenda january 2016 ikatoka. ila watakuwa wanafanya design tu, manufacturing na supply atafanya mwengine. Click to expand... android? au wanatengeza os yao?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,242 Reaction score 44,327 Jun 28, 2015 #25 Rene Jr. said: android? au wanatengeza os yao? Click to expand... itakuwa ni android sababu n1 ina android na wana launcher yao z-launcher ambayo pia ni ya android.
Rene Jr. said: android? au wanatengeza os yao? Click to expand... itakuwa ni android sababu n1 ina android na wana launcher yao z-launcher ambayo pia ni ya android.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,626 Jun 28, 2015 #26 Chief-Mkwawa said: wanatengeneza wote hio simu, ni muungano wa bb na samsung. Click to expand... Nilijua bb ndo anabadili platform yake
Chief-Mkwawa said: wanatengeneza wote hio simu, ni muungano wa bb na samsung. Click to expand... Nilijua bb ndo anabadili platform yake
kagombe JF-Expert Member Joined Mar 1, 2015 Posts 3,624 Reaction score 1,827 Jun 30, 2015 #27 me yangu nimeipa blackberry 10...update ya 10.3.2 yani utamu tu unaweza weka play store.au mobo....kwa hiyo app za andoid unazipata
me yangu nimeipa blackberry 10...update ya 10.3.2 yani utamu tu unaweza weka play store.au mobo....kwa hiyo app za andoid unazipata