blackberry inauzwa sawa na bure

blackberry inauzwa sawa na bure

A-1

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE
 
Vipi ulishauza blackberry curve?
 
Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE

kimeo,
sema kabisa ina tatizo gan?ucje kupotezea watu mda mi ntakupga makofi na kimeo nachukua na ela ckupi oohoo..!
 
Nlivyoona sawa na bure nikajua labda sh 100!
Kumbe ni kima cha chini cha mfanyakazi wa serikali!

Du kweli marketing strategies

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
BB zimeshuka thamani sana.
 
Ni blackberry curve one ipo katika hali nzuri inauzwa kwa shilingi laki moja na hii ni kwa wakazi wa dsm kwa mawasiliano 0718071138 WAHANE

Mileage..... Imetumika miaka mingapi???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom