baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Oct 6, 2012 #1 Habari wakuu, Blackberry Bold 9900, nyeusi inauzwa kwa TZS 600,000/= Nicheki kwa 0655 003 510 Sent from my BlackBerry Bold 9930 using JamiiForums
Habari wakuu, Blackberry Bold 9900, nyeusi inauzwa kwa TZS 600,000/= Nicheki kwa 0655 003 510 Sent from my BlackBerry Bold 9930 using JamiiForums
R rapamapinduzi New Member Joined Sep 27, 2012 Posts 2 Reaction score 0 Oct 6, 2012 #2 Ebhana unazo kibao mi niko mwanza saut afu tena kuna raia wanazitaka sso kama kuna uwezekano tutafutane
Ebhana unazo kibao mi niko mwanza saut afu tena kuna raia wanazitaka sso kama kuna uwezekano tutafutane
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,559 Reaction score 94,290 Oct 6, 2012 #3 Mbona vitu muhimu haujaweka? ni mpya au used? condition yake kama used ina sctraches nk
majuto mperungu01 Senior Member Joined Aug 29, 2012 Posts 115 Reaction score 21 Oct 6, 2012 #4 ndo bei yake hela yangu yote ya bum touch yangu bora niendelee nayo
Mao ze dong JF-Expert Member Joined Aug 28, 2012 Posts 941 Reaction score 1,014 Oct 6, 2012 #5 Sasa iyo pesa si bora ununue laptop.duh kwa ushamba wangu kamwe siwez tumia simu ya laki sita,ikizid sana ni laki 2
Sasa iyo pesa si bora ununue laptop.duh kwa ushamba wangu kamwe siwez tumia simu ya laki sita,ikizid sana ni laki 2
baraka607 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 844 Reaction score 168 Oct 7, 2012 Thread starter #6 rapamapinduzi said: Ebhana unazo kibao mi niko mwanza saut afu tena kuna raia wanazitaka sso kama kuna uwezekano tutafutane Click to expand... Kwa sasa nnayo hiyo moja ila ndo biashara yangu kwahiyo nichek kwa simu tuongee
rapamapinduzi said: Ebhana unazo kibao mi niko mwanza saut afu tena kuna raia wanazitaka sso kama kuna uwezekano tutafutane Click to expand... Kwa sasa nnayo hiyo moja ila ndo biashara yangu kwahiyo nichek kwa simu tuongee