Babu wa Loliondo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 323
- 106
Wasalaam wanaJF!!
Smartphone BB Bold 9780 inauzwa!! Haina tatizo lolote ila ni used,screen yake haina mikwaruzo kwan ina screen guard tangu upya wake!!! Kama uko interested tuwasiliane @0767 019095
Picha inahusika kwa ushahidi wa macho
Bei 230,000 mkuu negotiable
weka pic bas
Siku nyingine uwe mkweli mr. Unaulizwa simu haina tatizo na unajibu kwa usahihi haina, mtu anakuja kumbe matatizo kede.!!
Siku nyingine uwe mkweli mr. Unaulizwa simu haina tatizo na unajibu kwa usahihi haina, mtu anakuja kumbe matatizo kede.!!