Nimeupdate Application World. Then baada ya Hapo sijaiona tena . Nimeenda kwnye All Applications nikaifuta na Kuinstall upya but Problem ikabaki palepale. Mwenye uelewa na hili plzz naomba muongozo wako.
1.Jaribu kutoa betri na kurudisha ikishindikana
2. Jaribu ku-update software iliyopo kwenye simu, kwa mfano kama unatumia whatsApp ifungue kisha check for updates ukiona haijaipeleka kwenye appword cancel rudia tena itaenda huko na icon yake itatokea.
3. Likishindikana hilo fungua kwenye browser app/word kisha jaribu kudownload software yoyote itaiibua app/word ya kwenye simu na kuanzia hapo itaonekana kwenye icon.
Hii problem nimeisolve jana tu!Tumia Blackberry desktop manager,ukiconnect simu yako utaambiwa update OS,ukishaiupdate,kila kitu kitarudi sawa na appworld itaonekana!
Hii problem nimeisolve jana tu!Tumia Blackberry desktop manager,ukiconnect simu yako utaambiwa update firmware ya simu yako,ukishaiupdate,kila kitu kitarudi sawa na appworld itaonekana!