Me ninayo imetumia kwa siku chache iko ktk hali nzuri sana lkn nauza kwa 350,000, pia ninayo blackberry Z10 Nayo iko ktk hali nzuri sana nauza kwa 580,00 cm zote ni original from vodafone UK with vodafone logo, zimefunguliwa kwa matumizi nje ya UK, Na vilevile ninayo blackberry 9900 iko ktk hali nzuri sana lkn aifanyi kazi ni kwa ajili ya Spare au kama unataka kuifanyia repair, Ni Pm tufanye biashara