blackberry 9780

blackberry 9780

RASHID S SEIF

Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
32
Reaction score
3
Nauza blackberry bold 9780 kwa 400000 ipo katika hali nzuri imetumika haujafika hata mwezi,bei inapungua kwa alie serious.0717592335
 
Inakuwaje unanunua simu aina ya BB hata mwezi haujaisha unaiuza?. Sema ukweli, inashida gani? Isije kuwa ya kichina
 
Dooh umenipa akili asee!! Yangu 9780 niliweka 3.5 watu walivyoingangania
Basi nitawakazia 3.8 asee
Hehehhe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom