Wazee wa Torrent hawanaga utani aisee faster tu kitu kichukuliwa. covid ilituharibia sana muvi hii, Shang chi na Eternal ilitakiwa tuzione mwaka jana ila wazungu hawashindwi kitu bwana walishaAdapt mazingira so kila kitu kitaachiliwa hivyohivyo Online.Sisi wa Kodi na Torrents tuliipata Tangu tarehe 9/07 mapema tu...nway movie ya moto sana, too bad covid itaifanya isiwe na mauzo mazuri.
hiyo hiyoHanna ya muvi ya 2011 au series?
Nikiwahi kucrush pia ila nilishaacha hizo mambo.Scarlett Johansson' voice is what I need to hear now and then. Nakubali sana projects za Marvel recently jinsi wanavyo jaribu ku introduce new actors and actresses in coming avengers movies.
Kama ni msomi wa Comics kuna kundi linaotwa Young avangers ambao limeundwa naI see, kwenye next Avengers trilogy tutaona new characters wakiendeleza legacy za;
1.Tony Stark
2. King Tchalla
3. Steve Rogers
4. Black widow
Vision is ultimately dead sidhani kama atarudi tenaPia characters za vision na Loki ni muhimu kuzifufua