Black skin a true definition of talent

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Kwanza nilikuwa sijawai kufikilia hiki kitu ni wazo tu limeniingia kichwani ila baada ya kutafakali kwa ukaribu nimegundua ninacho waza ni sahii kabisa.

Hivi unajuwa rekodi nyingi zinazo husisha vipaji zimevunjwa na watu weusi tu? Ngoja ni orodheshe majina ya watu na wewe ukiwa na wakwako utaongeza ila sharti utaje amevunja rekodi gani duniani.

1. Mohamed Ally - Masumbwi huyu ndo anashikilia record ya masubwi duniani.

2. Michal Jordan- Kikapu hapa hakuna ambaye kaivunja rekodi ya jamaa kunako kikapu

3. Pele- kabumbu anashikilia rekodi ya kuwa msakata kabumbu hatari kuliko wote duniani

4. Hussein Boalt- Huyu jamaa kwenye kufukuza upepo hakuna kiumbe aliwai kuvunja rekodi yake inasemekana anakimbia kuliko hata msanii wa Tanzania wa kizazi kipya Harmo Rapa.

5. Serena William. Tenesi mwanamke pekee aliyetoa mataji mengi ya tenesi duniani.

6. Michal jackson& 2 Pac- Music industry inafahamu vizuri sana vipaji vya hawa watu

7. Job Gustino Ndugai- Siasa uyu ni mwanasiasa pekee katika dunia hii ambaye amevunja rekodi ya kuwa kiongozi bora wa bunge(spika) kuliko masipika wote duniani. Ndani ya kipindi chake zimetungwa sheria na kupitishwa miswada mingi tena yenye tija kwa nchi kuliko nchi yoyote duniani.

8….…...............................
9...…...............................
10..................................
 
Member wote humu tungekuwa verified sidhani kama wako watoto wangekuacha salama kama wangebahatika kusoma hiyo #7
 
Kwanza nilikuwa sijawai kufikilia iki kitu ni wazo tu limeniingia kichwani ila baada ya kutafakali kwa ukalibu nimegundua nacho waza ni sahii kabisa.

Hivi unajuwa rekodi nyingi zinazo usisha vipaji zimevunjwa na watu weusi tu? Ngoja ni orodheshe majina ya watu na wewe ukiwa na wakwako utaongeza ila sharti utaje amevunja rekodi gani duniani.

1.Mohamed Ally - Masumbwi uyu ndo anashikilia record ya masubwi duniani.

2.Michal Jordan- Kikapu hapa akuna ambaye kaisha vunja rekodi ya jamaa kunako kikapu

3.Pele- kabumbu anashikilia rekodi ya kuwa msakata kabumbu hatari kuliko wote duniani

4.Hussein Boalt- Uyu jamaa kwenye kufukuza upepo hakuna kiumbe aliwai kuvunja rekodi yake inasemekana anakimbia kuliko ata msanii wa tanzania wa kizazi kipya Harmo Rapa.

5. Serena William. Tenesi mwanamke pekee aliyetoa mataji mengi ya tenesi duniani.

6. Michal jackson& 2 Pac- Music industry inafahamu vizuri sana vipaji vya awa watu

7.Job Gustino Ndugai- Siasa uyu ni mwanasiasa pekee katika dunia hii ambaye amevunja rekodi ya kuwa kiongozi bora wa bunge(spika) kuliko masipika wote duniani. Ndani ya kipindi chake zimetungwa sheria na kupitishwa miswada mingi tena yenye tija kwa nchi kuliko nchi yoyote duniani.

8….…...............................
9...…...............................
10..................................
Hiyo ya 7 nimeikubali Sana mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
itakuwa unapima mwelekeo wa upepo..

na hata mwenyewe akisoma atashangaa maana anajua hizi sifa za hao Magwiji hana na hatakaa awe nazo

nje ya mjengoni nani anamfahamu.!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"tarent" ndiyo nini?

Kiswahili chako kinatia kinyaa kukusoma.

Hakika shule ulienda kusomea ujinga.
Hahaha. Fikilia, tafakali. Hakika siwezi somesha mwanangu Tz kama huu ndio upuuzi mtu anaandika. Wakenya huwa wanatucheka na kusema watz hatujui kiingereza wala kiswahili. Hapa ndio nimeamini duh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wasishikilie lugha yetu adhimu?
Hawaijui pia, angalia hapo alipochanganya l badala ya r. Wakenya huwa wanatucheka na kusema watz hatujui kiingereza wala kiswahili kwenye mambo kama haya. Sas huyu anaandika upuuzi gani. Na mitandao ndio ina tuexpose kabisa kama hatujui kitu. Zamani tulikuwa tunabisha kidogo kuwa hatujui kiingereza ila kiswahili tunajua. Ila mitandao ndio inatufanya tuonekane bogus kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom