Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,335
- 24,232
Inasikitisha hasa kwa kizazi chetu ambao tumewahi kubeba hela kwenye dawa ya mswaki!View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.
Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.
Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.
Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
View attachment 1136055

utakua mzimu wa TrA, bado unawakula.!
Mbona hata hayo maduka yaliyofungwa mengi hayakuwa na leseni?haramu huwa inakuwepo tu hata marekaniView attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.
Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.
Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.
Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
Black market ipo kila nchi na kila mahali. Hata dunia ya kwanza, USA,UK Germany nakadhalika ipo
majeraha tu mkuu, Ila ni panya ndio walionivamia😂😂😂😂Mkuu unaendeleaje baada ya kile kipigo?
Your browser is not able to display this video.
Indians hawawezi kuacha hii biashara....waweke mazingira mazuri wawakate Kodi....Indians sana system na washafanya hii bss kwa muda mrefu...watabadilishana hata majumbani kwao
Mkuu husemwa kuwa simplicity na openness katika businisess hufanya biashara ichangamke.Sijui kwenye suala la uchumi tunakwama wapi. Lets make decisions, implement them and move forward quickly. Dunia huwa haisimami. Lazima twende with the same speed
Hawa utawalaumu bure.Tatizo "jiwe!" Mr.know all but jack of none!View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.
Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.
Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.
Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
Hawa utawalaumu bure.Tatizo "jiwe!" Mr.know all but jack of none!View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.
Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.
Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.
Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
Hawa utawalaumu bure.Tatizo "jiwe!" Mr.know all but jack of none!View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.
Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.
Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.
Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
Udijiondoe werevu. black market huko ulizia kama ipo kwa forex.Black market ipo kila nchi na kila mahali. Hata dunia ya kwanza, USA,UK Germany nakadhalika ipo