Black market is here: Tulionywa tukapuuza!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
9,357
2,000
20190623_113706.jpg

Sera mbovu za uchumi sasa matokeo yake tunaanza kuyaona.

Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.

Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.

Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.

Over regulate the economy na una pata a parallel economy.

Kstika parallel economy. Govt control almost hakuna na kodi huko huwezi kusanya.

Maduka yamefungwa na wafanyabiashara wamerudisha leseni, tujiulize sasa biashara zimekufa kabisa?

BIG NO!

Tujiulize machinga anapata wapi mali zake? Parallel economy.

Wachumi waliobobea watakuambia, Principle ya Demand and Supply ndio inatawala kote.

Iwekee vikwazo visivyovumilika, inakula kwako.

Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
 
Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,142
2,000
View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.

Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.

Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.

Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
Inasikitisha hasa kwa kizazi chetu ambao tumewahi kubeba hela kwenye dawa ya mswaki!
 
Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
17,499
2,000
View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.

Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.

Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.

Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.

Sijui kwenye suala la uchumi tunakwama wapi. Lets make decisions, implement them and move forward quickly. Dunia huwa haisimami. Lazima twende with the same speed
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,172
2,000
View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.

Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.

Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.

Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
Mbona hata hayo maduka yaliyofungwa mengi hayakuwa na leseni?haramu huwa inakuwepo tu hata marekani
 
Rawasha

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
1,068
2,000
Watu wenye midomo michafu kama wewe ndio unakuta hata nyumba zao zimewashinda. Wanagongewa mpaka wake zao.
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,181
2,000
Indians hawawezi kuacha hii biashara....waweke mazingira mazuri wawakate Kodi....Indians sana system na washafanya hii bss kwa muda mrefu...watabadilishana hata majumbani kwao

Tatizo la Ndugu zetu wahindi wao Hapa ni njia tu Lakini wote mawazo yao ni kuishi Canada wakiwa na pesa
Kwa hiyo lazima Kila wakiuza watafute namna ya kutuma pesa nje
Tatizo mingine ni baadhi ya masoko makubwa duniani ya china na Dubai kuendelea kujiendesha kwa pesa taslimu hii kulazimisha wanunuzi hasa kutoka Afrika kwenda na pesa taslimu na inakua ngumu kwenye masoko ya halali ya fedha kuruhusiwa kutokana na limits
Sababu nyingine ya black market ni biashara haramu la madini na madawa ya kulevya ambazo hufanyika kwa pesa taslimu
 
nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
2,995
2,000
View attachment 1136055
Sera mbovu za uchumi sasa mstokeo yake tunaanza kuyaona.
Biashara haiwezi kuendeshwa kwa mtutu wa bunduki au kwa kulazimisha kile kitu serikali inataka.

Tulilazimisha kodi zisizolipika, biashara zikafungwa kwa wingi.

Tumelazimisha biashara ya fedha ya kigeni kufanywa na mabenki tu, sasa kuna black market ya fedha hiyo.

Over regulate the economy na una pata a parallel economy.
Waziri Mpango na Gavana BOT, Nd Luoga wajiuzulu, kazi ya kuendesha uchumi imewashinda.
Hawa utawalaumu bure.Tatizo "jiwe!" Mr.know all but jack of none!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom